• Registered UK Charity 1103895
  •   

Provide Clean Water

Well No. 574

Kisima namba 574 kimekabidhiwa kwa wana kitingoji cha KASENI kijiji cha KIGONGO KATA YA IDETEMYA wilaya ya misungwi Mkoani Mwanza
Kaya 230 yaani wakazi 583 kwa siku wata nufaika na kisima hiki.

Kisima kimefadhiliwa na familiya Iqbal Dinani kwa ajili ya kumbu kumbu na thawabu kwa marehemu wote waliotajwa kwenye bango juu ya kisima.

News & Updates

Join Our Mailing List

Keep up to date with all of our wonderful achievements