• Registered UK Charity 1103895
  •   

Community building

Hongereni sana

Hongereni sana
Kwa kweli kazi mnayofanya ni kubwa mno na ni Mwenyezi Mungu peke yake anaweza kuwalipeni duniani na akhera insha allah

Sisi TDCF tunashukuru sana kwa fursa mnayotoa ya sisi kutoa mcango wetu kidogo pale inapo wezekana

Tunakuhakikishieni kuwa Tutaendelea kushirikiana kujenga umoja ma kuokoa maisha ya wahitaji wa damu mahospitalini

Sibtain Meghjee
M/kiti
TDCF
MZA

News & Updates

Join Our Mailing List

Keep up to date with all of our wonderful achievements