• Registered UK Charity 1103895

Provide Desk and Chairs

THE DESK AND CHAIR FOUNDATION YA FADHILI MADAWATI

THE DESK AND CHAIR FOUNDATION YA FADHILI MADAWATI 42 YENYE KIWANGO CHA HALI YA JUU KWENYE SHULE YA MSINGI YA KIDINI CHA TAASISI KONGWE YA BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA KWENYE MAENEO YA NYANHONGOLO MKOANI MWANZA

MADAWATI HAYO YANA UWEZO WA KUHUDUMIA WANAFUNZI 126 WAKIWA WAMEKAA WATATU WATATU

AIDHA AWALI THE DESK AND CHAIR FOUNDATION WALIFADHILI MADAWATI YA DARASA LA CHEKE CHEA KWENYE SHULE HIYO

MADAWATI 40 YALIFADHILIWA NA FAMILIA YA GB NA BI RUBAB BANU GB DAMJI

NA MADAWATI MAWILI YALIFADHILIWA NA WAFADHILI WENGINE
PAMOJA NA MADAWATI HAYO MITI 420 ZITAPANDWA ILI KUFIDIA MBAO ILIO TUMIKA KUTENGENEZEA MADAWATI HAYO

ZOEZI LA MAKABIDHIANO IMEFANYIKA LEO BAADA YA SALA YA IJUMAA TAREHE 12/9/25

TAASISI INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WAFADHILI WOTE WA MIRADI MBALI MBALI ZA KIJAMII
MWENYEZI MUNGU AWABARKI SANA
AMINA

News & Updates

Join Our Mailing List

Keep up to date with all of our wonderful achievements

Loading